Je umekua ukisoma sana nyakati za karibia na mitihani na bado matokeo ni finyu ukiringanisha na wakati unaotumia, bila kusahau kukesha usiku kucha? soma zaidi upate siri ya kufanikiwa katika masomo yako katika ngazi tofauti tofauti za elimu ikiwemo elimu ya chuo kikuu. masomo binafsi kwenye eneo tulivu KUSOMA MAANA YAKE NINI? Watu wengi hatujui kusoma maana yake nini,labda hufikiri kusoma ni wakati ule unaposhika daftari au kitabu au kitini kwaajili ya kusomea mtihani ambao unao kesho asubuhi. Lakini watafiti wanasema kusoma hua ni mchakato mpana zaidi ya apo. Kwa kifupi kusoma maana yake hua ni kuandika notsi kwa urefu(kutolea maana kila pointi ulioiandika), kuandika points,bila kusahau kuvisoma hivo ulivoviandika. NAMNA YAKUFANIKIWA KATIKA MCHAKATO WAKUSOMA: TAFUTA ENEO LA KIMYA: inaweza kua chumba tulivu kama hiki ambacho hakina usumbufu kabisa Watu wengi usoma popote bila kujali kama en...
sayansi huru ni blogu inayoruhusu kujifunza mambo mbali mbali yahusuyo maisha na sayansi..