UTANGULIZI: Habari ndugu wasomaji, leo ntawafundisha namna yakutengeneza Wi-Fi (wireless fidelity) kutoka kwenye tarakilishi mpakato au ya kwenye desk: MAHITAJI: 1. TARAKILISHI (KOMPYUTA) YA MEZANI(DESKTOP) AU MPAKATO YENYE WIRELESS CARD (KADI YA WIFI) AU YENYE UWEZO WAKUDAKA WIRELESS AU BLUETOOTH 2. UJUZI WA KAWAIDA WA KUTUMIA TARAKILISHI HATUA YA KWANZA: Unahitajika kua na uwezo wakuunganisha intanet kwenye kompyuta yako kama utatumia modem au utatumia wireless(Wi-Fi) kutoka kwenye eneo ambalo tarakilishi yako imeunganishwa. intanet ya WiFi (kwenye duara jeusi) HATUA YA PILI: Tutatakiwa kushusha (download) Baidu "wifi share app" kutoka kwenye tovuti ya PC FASTER nimekuwekea link hapa uishushe haraka shusha baidu moja kwa mojahapa au unaweza tembelea tovuti yako hapa shusha program yako ya Baidu kwenye tarakilishi yako( kwenye picha ninatumia program ya IDM kushusha BAIDU kwa haraka ) ...
Je umekua ukisoma sana nyakati za karibia na mitihani na bado matokeo ni finyu ukiringanisha na wakati unaotumia, bila kusahau kukesha usiku kucha? soma zaidi upate siri ya kufanikiwa katika masomo yako katika ngazi tofauti tofauti za elimu ikiwemo elimu ya chuo kikuu. masomo binafsi kwenye eneo tulivu KUSOMA MAANA YAKE NINI? Watu wengi hatujui kusoma maana yake nini,labda hufikiri kusoma ni wakati ule unaposhika daftari au kitabu au kitini kwaajili ya kusomea mtihani ambao unao kesho asubuhi. Lakini watafiti wanasema kusoma hua ni mchakato mpana zaidi ya apo. Kwa kifupi kusoma maana yake hua ni kuandika notsi kwa urefu(kutolea maana kila pointi ulioiandika), kuandika points,bila kusahau kuvisoma hivo ulivoviandika. NAMNA YAKUFANIKIWA KATIKA MCHAKATO WAKUSOMA: TAFUTA ENEO LA KIMYA: inaweza kua chumba tulivu kama hiki ambacho hakina usumbufu kabisa Watu wengi usoma popote bila kujali kama en...